Wachambuzi maandazi watawabia nini watu leo walioongoza kuilaani Simba

Wachambuzi maandazi watawabia nini watu leo walioongoza kuilaani Simba

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Tumezoea sana sie wapenzi wa Simba kuwa asilimia kubwa ya waandishi hushabikia Yanga au maarufu utopolo.

Hata tukio la Haji kutuhumiwa kuihujumu Simba wote walikana kuwa hilo haliwezekani.

Sisi tuliona mapema nia ya Haji manara kabla ya mechi ya Kigoma ilikuwa ni kuua spirit iliyokuwepo Simba.Alitaka kuwavunja moyo mashabiki na hata wachezaji ili utopolo wachukue ubingwa.Lakini Mungu hakuwa upande wao yeye na Yanga yake.

Leo haji amehamia yanga huku akisema wazi kuwa ilikuwa timu ya moyo wake. Sisi wanaSimba tunaamini maneno ya Haji kwa kuwa alishiriki kwa asilimia 100 kuihujumu timu.Upo uwezekano hata alicheza mchezo mchafu na wacheza kamari ili anufaike.

Sasa nawauliza leo watasema nini wakati waliongoza kumshambulia Mo na CEO wa Simba wakimtuhumu eti hawezi kuwa na uchungu na Simba kama Manara?!
 
Haji ni Simba Tangu utotoni ilo ata Yanga wanalifahamu, kinachofanyika Kwasasa ni mambo ya biashara tu. Walikuopi wakina Mogela, Kipese, Kaseja n.k hao wote ni Simba Ila Yanga walifuata Fedha/ Maisha. Kwenye fedha hakunaga longolongo, Fedha ni maisha ushabiki utabaki kwa mashabiki.
 
Kwa wachezaji mimi sioni kama ni shida maana kucheza ni ajira.Ni sawa na kuajiriwa kama daktari hata anapokuja adui yako anaumwa lazima umtibu,lazima uwe proffessional. Hata jeshini ukimkamata adui mateka unampa maji na chakula ijapo ulikuwa unapambana kumuua.
Hili suala la Manara ni tofauti sana kwani aliingiza ushabiki mkali sana hadi matusi jambo ambalo sio professional.

Kuna wasemaji walio kiki sana kama Masau Bwire na Thobias Kifaru lakini hatujawahi kusikia wakitoa matusi na hoja za chuki kama Manara.
Haji ni Simba Tangu utotoni ilo ata Yanga wanalifahamu, kinachofanyika Kwasasa ni mambo ya biashara tu. Walikuopi wakina Mogela, Kipese, Kaseja n.k ao wote ni Simba Ila Yanga walifuata Fedha/ Maisha. Kwenye fedha hakunaga longolongo, Fedha ni maisha ushabiki utabaki kwa mashabiki.
 
Vipi zile sifa mulizokuwa mukimpa alipokuwa Simba je mutaendelea kumpa akiwa huko Yanga au mutamsafisha?
 
Dunia ipo kasi kweli,
Si Manala kwenda yanga tu, ila hata wapenzi wa Simba waliokuwa wanamuona manala kama sehemu ya mafanikio ya SiMBA leo wanamuongelea vibaya huku mashabiki wa YANGA wakimkingia kifua
 
Haji ni Simba Tangu utotoni ilo ata Yanga wanalifahamu, kinachofanyika Kwasasa ni mambo ya biashara tu. Walikuopi wakina Mogela, Kipese, Kaseja n.k ao wote ni Simba Ila Yanga walifuata Fedha/ Maisha. Kwenye fedha hakunaga longolongo, Fedha ni maisha ushabiki utabaki kwa mashabiki.
Mkuu,, tofautisha shabiki na mchezaji.
Shabiki anafata maslahi gani kwenye timu?
Mchezaji,,atahama timu lakini sio shabiki.

Kwa kifupi manara ni yuda eskariot aliyezaliwa tena kwenye zama tulizonazo.
 
Kazi ya chawa ni kuwasifia mabwana wenye fedha zikikata hutomsikia tena
 
Screenshot_20210825-061921.jpg
 
Hadji Manara Kila La Heri
Cash Ndiyo Muhimu Zoa Pesa Yanga
 
Kuna wasemaji walio kiki sana kama Masau Bwire na Thobias Kifaru lakini hatujawahi kusikia wakitoa matusi na hoja za chuki kama Manara.
Hiki ndiyo kitu ambacho wafuata upepo hawakioni. Bongo kila kitu tunakiangalia kiushabiki.
 
Unajua Kuna wapenzi wa mpira hawana kumbukumbu, Yanga walishawahi kua na shabikia ambaye Kuna muda timu ikifungwa alikua akilia Kama Mtoto mwishowe akabebwa na Azam na mbaka Leo yupo Azam anafanya kazi. Maisha yanataka fedha ushabiki unakuja baadae.
 
Back
Top Bottom