kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Tumezoea sana sie wapenzi wa Simba kuwa asilimia kubwa ya waandishi hushabikia Yanga au maarufu utopolo.
Hata tukio la Haji kutuhumiwa kuihujumu Simba wote walikana kuwa hilo haliwezekani.
Sisi tuliona mapema nia ya Haji manara kabla ya mechi ya Kigoma ilikuwa ni kuua spirit iliyokuwepo Simba.Alitaka kuwavunja moyo mashabiki na hata wachezaji ili utopolo wachukue ubingwa.Lakini Mungu hakuwa upande wao yeye na Yanga yake.
Leo haji amehamia yanga huku akisema wazi kuwa ilikuwa timu ya moyo wake. Sisi wanaSimba tunaamini maneno ya Haji kwa kuwa alishiriki kwa asilimia 100 kuihujumu timu.Upo uwezekano hata alicheza mchezo mchafu na wacheza kamari ili anufaike.
Sasa nawauliza leo watasema nini wakati waliongoza kumshambulia Mo na CEO wa Simba wakimtuhumu eti hawezi kuwa na uchungu na Simba kama Manara?!