Wachambuzi mliotumika kumtoa kwenye Reli beki kitasa Dickson Job mbona mpo kimya mmekosa vya Kuandika kumuhusu?!

Wachambuzi mliotumika kumtoa kwenye Reli beki kitasa Dickson Job mbona mpo kimya mmekosa vya Kuandika kumuhusu?!

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Zilizuka POROJO zisizo na mashiko za kusema kuwa Beki kitasa Dickson Job ni mfupi na Hana hadhi ya kuichezea Yanga sc.

Mwamba hakuwajibu Wala hakuteteleka aliacha kazi ionekane, kweli huyu bwana mdogo ni mtu kazi haswaa na tuna kila sababu ya kujivunia beki huyu kitasa katika taifa letu.
20240301_144547.jpg
 
Back
Top Bottom