Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mm sio mjuzi wa mpira Wala sijui uchambuzi lakn napata mgagasiko pale naposikia beki fulan au kipa fulan kaupiga mwingi hi ina maana gani?
Kwa akil zangu za std 2B chin ya usimamiz wa mwalimu NGAPONDA MPITIMBI PRIMARY SCHOOL naona Kama hyo timu imezidiwa maana mpira unafika kwao mara kwa Mara.
MSAADA tutani wa kueleweshwa.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app