Wachambuzi na waandishi wa habari za michezo wa vituo vya redio acheni unafiki

Acha kukashifu watu we mpuuzi.
 
Wanafiki hao
 
Gongowazi kwanini mmemuondoa Zahera? Nilitaka ashuhudie back to back ikiendelea pale Msimbazi..!

Boooo mnenikera sana kumuondoa.!
 
Toa maoni yako. Kuku wewe.
Hili jukwaa ni kuajili ya kujadiliana issues sio kuajili ya kukashifu watu kwani uwezi kutoa hoja bila kuongea kauli chafu kwani unapungukiwa na Nini ebu kuwa na heshima na kazi za watu unatoa mapovu as if unakacheo pale yanga hao unawakashifu wamekuzidi mafanikio kwa kiasi kikubwa una safari ndefu katika maisha yako.
 
Ni maoni yangu sijamkashifu kiumbe. Ukweli utabaki.
 
Gongowazi kwanini mmemuondoa Zahera? Nilitaka ashuhudie back to back ikiendelea pale Msimbazi..!

Boooo mnenikera sana kumuondoa.!
Mmesema sana sio kocha. Sasa mnataka kipi tena?
Kelele nyingi kuhusu Zahera zilikuwa za Mikia.
 
Ni maoni yangu sijamkashifu kiumbe. Ukweli utabaki.
Ebu rudia comment yako nzima utaona wapi umekashifu usijitoe ufahamu haya ni maisha tu tunapita acha tabia yakukashifu watu na kujiona una akili Sana kuliko mtu yoyote.
 
Kama wewe ulivyoshuhudia back to back mkakimbilia FIFA
Gongowazi kwanini mmemuondoa Zahera? Nilitaka ashuhudie back to back ikiendelea pale Msimbazi..!

Boooo mnenikera sana kumuondoa.!
 
MAJIZI,MADHULUMATI,MAJAMBAWAZI,MATAPELI MAKUBWA NYIE.MPENI PESA ZAKE.MSITAKE KUMZIMA KAMA DANTE.HUYU ANAJITAMBUA HATOKUBALI KUDHULIMIWA...MNATAKA KUMZIKA PESA ZAKE KAMA MLIVYOFANYA KWA DANTE.MAJIZI MAKUBWA NYIE.VYURA, PILIPILI HOHO,MATIKITIK NA MAJIZI MAKUBWA.
#Mlipeni zahera pesa zake#



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…