kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Taifa Stars ndiko waliko watanzania wetu kuliko vilabu ambavyo vimejaa wageni wengi. Taifa Stars ni moja kati ya tunu zetu za taifa, mnasubiri nini kuongelea na kuhamasisha watu kuijua na kuipenda timu yao? mnasubiri kulipwa ili kuichambua na kuhamisha watu kuipenda na kujaza viwanja wakati wa mechi zake?
Habari ni mhimili wa nne wa dola, na Uzalendo lazima uchagizwe na mhimili huu kwakuwa ndio mhimili unahabarisha, kuburudisha na kuelimisha watu kila siku.
Kwanini timu ya taifa hamuipi uzito kama ule wa Simba na Yanga na timu nyingine?