Vipi Leo wale wachambuzi wetu wachumia tumbo mmoja king wa Insta anatangaza radio moja inayoongea ongea sana mwingine king wa Fb aliepata deal kuchambua kiswazi huko ambao huwa wanaona Arsenal tu akiliwa vipi kuhusu Chama Lao ambalo linastruggle Zaidi ya miezi mitatu halijatoka namba sita kama limewekewa gundi.
Watakuwa wamepost nini baada ya droo yao na Hull City maana ushindi wa Watford uliwatoa povu saaana.
Waambie baba maana akifungwa arsenal,,kuna kiredio kimoja watu wake wanaropoka sana,,lakini timu yao yamashetani haina hata fowrd wao sare tuVipi Leo wale wachambuzi wetu wachumia tumbo mmoja king wa Insta anatangaza radio moja inayoongea ongea sana mwingine king wa Fb aliepata deal kuchambua kiswazi huko ambao huwa wanaona Arsenal tu akiliwa vipi kuhusu Chama Lao ambalo linastruggle Zaidi ya miezi mitatu halijatoka namba sita kama limewekewa gundi.
Watakuwa wamepost nini baada ya droo yao na Hull City maana ushindi wa Watford uliwatoa povu saaana.
Kama kawaida yao. Si unajua DEBE TUPU.....!sijui leo wachambuzi uchwara watakuwa wameongea nini kuhusu chama letu