Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine anaongea. Kwamba wanabishana. Sasa imefuka saa 10 jamaa kaweka UFM YA AZAM TV. Kwanza mchambuzi mkuu ni mwanamke, nahisi hajawahi kucheza hata umitashumta.... Nao ni makelele na kuchekacheka tu. HII NI AKILI AU UTOPOLO?