Wachambuzi Ufm ya Azam na radio One ya ITV wanajua kuchekacheka na kukosoana kugha....

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
3,732
Reaction score
6,561
Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine anaongea. Kwamba wanabishana. Sasa imefuka saa 10 jamaa kaweka UFM YA AZAM TV. Kwanza mchambuzi mkuu ni mwanamke, nahisi hajawahi kucheza hata umitashumta.... Nao ni makelele na kuchekacheka tu. HII NI AKILI AU UTOPOLO?
 
Unapata wapi muda wa kusikiliza Watangazaji Mazuzu wa siku hizi.
Kumbuka.
Mwijaku.
Baba levo.
Nikiza
Lokole
Diva.
Oscar.
Kitenge.

WOTE HAWA NI ZERO
 
U FM na Omary katanga
Salama Ngale
Mwamnyanyi
Michael Nguli
Michael Ihera
Kuna wakati Baruani anakuja kwenye kijiwe Cha Soka
Jamaa michezo jioni wameikamata Wana kaupekee flani ni Raha kuwasikiliza
 
Ngoja waje wakukosoe na wewe..Kugha ndio nini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…