Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na matangazo mapya mjini yakitangaza ujio wa kinywaji kipa cha MO COLA. Ujio huu umeambatana na vinywaji vingi vya aina hiyo kutoka kampuni ya METL.
Katika kufuatilia kidogo kuhusiana na ujio huuu nilibahatika kukutana na tweet ya Mohamed Dewji ikisema wamewekeza dola milioni 48 kwenye ujio huu wa vinywaji.
Mo Cola will be in the market in 2 weeks. I urge #Tanzanians to try it! We have invested $48 million.
Hii ilinifanya nifikirie cola nyingine ambazo tumekuwa nazo hapa nchini. Tuna sayona cola, azam cola, coca cola, pepsi cola na nyingine ndogo ndogo za kufungwa kwenye vikopo.
Swala kubwa nalofikiria hapa na ninalotaka kuwashirikisha ni je tuna soko kubwa kiasi hiko la hizi cola? Na je Dewji ameingia kwenye competition ambayo ina worth fedha na energy yake?
Najua atakuwa amefanya market research yake ambayo imemridhisha kufikia maamuzi haya ila hapa nataka tuangalie hili soko la cola kwa jicho jingine.
Karibuni.
Samahani kwenye kichwa cha habari ni UCHUMI NA SIO UCHIMU