Wachambuzi wa kibongo: Al ahly anamengi ya kujifunza kutoka kwa Mamelody sundowns

Wachambuzi wa kibongo: Al ahly anamengi ya kujifunza kutoka kwa Mamelody sundowns

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Najaribu kubashiri ujinga tutakaosikia kwa wachambuzi na watu wajinga wajinga waliopewa fursa katika media za kiswahili.

Hapo utawasikia wakiisifu timu yao kuwa ingecheza na mamelody ingeweza kumfunga kwa kuwa ina kikosi kipana.

Ni watu wasiojua mpira zaidi ya ushabiki na unafiki tu.
 
Watangazaji Makanjanja ndio wanaojifanya wachambuzi ....sema na Media za kishwahili nyingi za michongo - no weledi
 
Kwanza wale mamelody sundown kocha wao ukimtoa yule wa Morocco sidhani kama kuna kocha mwenye profile kubwa kuliko yule Africa kwa wazawa ukimtoa na mosimane ambaye yupo nje ya Africa wanacheza mpira wa kasi na hakuna kufikiria sehemu ya kupeleka mpira ukiwa mguuni that's modern football kocha wao kakaa sana nje kafundishwa na klop na Guardiola na yeye kafundisha mpaka wazungu yule jamaa (Steve komphela).
 
Back
Top Bottom