Watangazaji Makanjanja ndio wanaojifanya wachambuzi ....sema na Media za kishwahili nyingi za michongo - no welediNajaribu kubashiri ujinga tutakaosikia kwa wachambuzi na watu wajinga wajinga waliopewa fursa katika media za kiswahili.
Hapo utawasikia wakiisifu timu yao kuwa ingecheza na mamelody ingeweza kumfunga kwa kuwa ina kikosi kipana.
Ni watu wasiojua mpira zaidi ya ushabiki na unafiki tu.
Bongo hatuna mashabiki wala wachambuzi kuna bendera fuata upepoBadala ya kuchambua mechi wataenda kwenye hitimisho moja kwa moja
Utaskia, "kwa form waliyonayo Mamelody nawaona fainali kabisa" bullshit