Usipoangalia game za liver live hautakuwa mchambuzi?Dr. Leacky alikuwa anaenda kushudia game za liver live, aliongea anachojua, hawa wavimba macho waliobaki ni hovyo
Hapa nimekupata na wengine hawaendi hata vyuoni mtu anaongea sio kuchambua nanukuu "utasikia sikushangaa maana nilitegemea kitu kama kile kutokea" yaani hadi tabu kuwaelewatatizo sio wao
tatizo liko vyuo vya uandishi wa habari
hakuna specialization
ndo maana ezekiel Kamwaga yupo kwenye politics'
sports hadi movies na music...
Kuna tofaut kati ya mchambuzi na mchambuzi mzuriUsipoangalia game za liver live hautakuwa mchambuzi?
aaaaaahahahhaha na sofascore flash score na livescores.com.Shafii dauda anajifanya jembeee wakat kazi kudesa tuu goal.com na kujafanyaaa mjuaji....
Shafii dauda anajifanya jembeee wakat kazi kudesa tuu goal.com na kujafanyaaa mjuaji....
Hapo Clouds Fm Kuna Mtu Anaimeza Goal.com Akija Kwa Kipindi Anapaste Kama Ilivyo Anaitwa Issa MaedaShafii dauda anajifanya jembeee wakat kazi kudesa tuu goal.com na kujafanyaaa mjuaji....