kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Katika mwendelezo wa tabia ya timu utapu tapu aka watupolo,leo mwamuzi amelalamikia eti kanyimwa penalty tano!Ajabu mchezo tumeangalia wote lakini yeye pekee ndiye kaona hizo penalties!!
Hawa ni timu inayobebwa sana kuliko timu zote hapa Tanzania,lakini ndiyo timu ya kwanza kuwalalamikia waamuzi.
Hapa kwetu wanalalamikia TFF eti ni ya Simba.Waamuzi eti wote wamehongwa na Mo!Wamefanikiwa kuwaingizia ujinga huu washabiki wao nao wamekuwa wakiimba hivyo hivyo.
Sasa leo nashangaa imekuwa waamuzi wa CECAFA wanaionea hii timu utaputapu!
Nawaambia kwamba mnaenda kucheza mechi za CAF mtalalamikia sana waamuzi maana kule kuna red za kutosha kwa uchezaji wenu wa mieleka.
Waandishi mnaosapoti ujinga wa hii timu utaputapu anzeni kuwalalamikia waamuzi.Safari hii Simba haimo nawacheeka kwani hamna hamu hata ya kuwasapoti utapu tapu kama mlivyozoea