Wachambuzi wa michongo inabidi msubiri mechi ya Simba ili mpate cha kukosoa

Wachambuzi wa michongo inabidi msubiri mechi ya Simba ili mpate cha kukosoa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nina uhakika leo wachambuzi wengi walio kwenye pay roll ya timu la mchongo wanashindwa kupumua hasa jioni hii baada ya timu yao kung'olewa.

Sasa tunavyowajua inabidi msubiri mechi ya usiku ili mpate cha kusema dhidi ya Simba.Ila leo mtajidai mko busy na AFCON wakati tunajua macho na masikio yenu yalikuwa Zanzibar asilimia 90%.

Poleni sana
 
Back
Top Bottom