Wachambuzi wa michongo tunaomba mrudie hesabu zenu

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Humu kuna hesabu za uongo na kweli watu wakipeana imani kuwa simba ina uhakika ya kuanzia raundi ya pili kwasababu anashika nafasi ya 12 hivyo ana uhakika wa kuchukua nafasi ya pyramid na Berkane msimu ujao endapo watatolewa na Pirates hapo kesho. Wachambuzi wa bongo wameangalia tu upande wa juu ya Simba na kutoa hitimisho lakini kwasasa mambo yameshabadilika huko simba ili waanze raundi ya pili msiku ujao ni lazima kesho wamtoe Orlando pirates maana hakutakuwa na mbeleko ya Berkane wala Pyramid. Mpaka sasa msimamo upo hivi

1) Al Ahly point 73
2) Esperance point 58
3) Wydad point 56
4)Raja point 54
5)Mamelod point 46
6) Zamalek point 43
7) Berkane point 39 huyu namtoa kwasababu hatofuzu hivyo nafasi yake inabebwa na [emoji116]
7) Tp Mazembe point 38
8) Pyramid point 34 huyu nae hatofuzu hivyo namtoa pia hivyo yake itabebwa na [emoji116]
8)Pdtro luanda point 33
9) Etoil du Sahel point 32
10) Horoya point 31
11) Simba & Setif wote point 28

Timu ya kwanza hadi ya kumi zote zina uhakika wa kufuzu kwenye ligi zao kucheza klabu bingwa. Hivyo njia pekee ya Simba kutoanza hatua ya awali ni kumtoa Orlando pirates kesho
 
7) Berkane point 39 huyu namtoa kwasababu hatofuzu hivyo
7) Tp Mazembe point 38
8) Pyramid point 34 huyu nae hatofuzu hivyo namtoa pia higyo

ngoja waje akina njaa kali na boban sunzu wakupigie hesabu labda ndo utaelewa maana utoh vichwa vyenu vimejaa kutu ya ubishi
 
Humu kuna hesabu za uongo na kweli watu wakipeana imani kuwa simba ina uhakika ya kuanzia raundi ya pili kwasababu anashika nafasi ya 12 hivyo ana uhakika wa kuchukua nafasi ya pyramid na Berkane msimu ujao endapo watatolewa na Pirates hapo kesho. Wachambuzi wa bongo wameangalia tu upande wa juu ya Simba na kutoa hitimisho lakini kwasasa mambo yameshabadilika huko simba ili waanze raundi ya pili msiku ujao ni lazima kesho wamtoe Orlando pirates maana hakutakuwa na mbeleko ya Berkane wala Pyramid. Mpaka sasa msimamo upo hivi

1) Al Ahly point 73
2) Esperance point 58
3) Wydad point 56
4)Raja point 54
5)Mamelod point 46
6) Zamalek point 43
7) Berkane point 39 huyu namtoa kwasababu hatofuzu hivyo
7) Tp Mazembe point 38
8) Pyramid point 34 huyu nae hatofuzu hivyo namtoa pia higyo
8)Pdtro luanda point 33
9) Etoil du Sahel point 32
10) Horoya point 31
11) Simba & Setif wote point 28

Timu ya kwanza hadi ya kumi zote zina uhakika wa kufuzu kwenye ligi zao kucheza klabu bingwa. Hivyo njia pekee ya Simba kutoanza hatua ya awali ni kumtoa Orlando pirates kesho
Ukiangalia hapo misri na moroko Wana timu tatu kila mmoja, na kwa ufahamu wangu mdogo ni kuwa hakuna mwanachama anaetakiwa kuzidisha timu mbili kwenye tournament moja,
Hivo kati ya hizo timu sita zitakazo fuzu ni nne tu, Sasa ukijumlisha na hizo zilizobaki Hadi nafasi ya kumi itakuwa jumla ya timu nane , hivyo bado kutakuwa na nafasi ya timu mbili ambazo zitapata nafasi ya kuanzia hatua ya pili,
By conclusion Simba anauhakika wa kuanzia hatua ya pili hata akitolewa kesho.....

Kama Kuna sehem hujanipata vizuri wengine watakuelewesha coz ualim niliukimbia,,,

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umesoma kweli vizuri? Misri na Morocco ina timu tatu ni kweli lakini embu pitia vizuri kwenye uzi wangu utagundua kuwa timu ya Berkane ambayo inatokea Morocco nafasi yao imechukuliwa na timu ya Tp Mazembe na timu ya Pyramid inatokea Misri nafasi yao imechukuliwa na Petro De Luanda. Soma vizuri kwenye hapo kwenye namba nane na namba saba kila kitu kipo wazi
 
Vipi kuhusu Manara alivyosema sisi Yanga kunauwezekano wa kuanzia raundi ya pili halafu simba raundi ya kwanza? Ebu tufafanulie na hili mkuu Maana sisi Yanga kila kitu huwa tunajua.
Yanga hawana point za kuwafanya waanzie raundi ya pili hata kama wao watakuwa mabingwa wa ligi kuu. Mfano mzuri ni timu ya Belouizdad ya Algeria. Hawa ndio walikuwa mabingwa wa ligi kuu ya Algeria msiku uliopita lakini pamoja ubingwa wao wameanzia hatua ya awali kabisa kwenye mashindano ya kimataifa. Unatakiwa uwe kwenye top 10 ndipo upate nafasi ya kuanzia raundi ya pili. Manara kachemka
 
Mkuu umesoma kweli vizuri? Misri na Morocco ina timu tatu ni kweli lakini embu pitia vizuri kwenye uzi wangu utagundua kuwa timu ya Berkane ambayo inatokea Morocco nafasi yao imechukuliwa na timu ya Tp Mazembe na timu ya Pyramid inatokea Misri nafasi yao imechukuliwa na Petro De Luanda. Soma vizuri kwenye hapo kwenye namba nane na namba saba kila kitu kipo wazi
Mwalimu wako alipata shida sana kukuelewesha. Jitahidi kunywa maji mengi.
 
Wewe ndiye mwenye matatizo mpaka sasa kwenye rank simba hawako nafasi ya 12 tena kwasababu jana Petro De Luanda imepanda hadi nafasi ya 10 na simba kaporomoshwa hadi nafasi ya 13. Mbona kila kitu kipo wazi unakaza shingo tu

) Al Ahly point 73
2) Esperance point 58
3) Wydad point 56
4)Raja point 54
5)Mamelod point 46
6) Zamalek point 43
7) Berkane point 39
8) Tp Mazembe point 38
9) Pyramid point 34
10)Pdtro luanda point 33
11) Etoil du Sahel point 32
12) Horoya point 31
13) Simba & Setif wote point 28

Sasa fanya hesabu zako za kukaririshwa darasani. Chukua 13 toa mbili unapata ngapi? Una tatizo kubwa sana la uelewa.

Haya jipige kibao halafu sema mkulu senkondo ni jinga kabisa
 
Utaangaika Sana mkuu, ujajua unalielewesha kolo ambalo uwa yanapenda kusikia maneno matamu tu ata kama kuna uhalisia lenyewe litabisha tu, achana nalo liendelee kuamini linachopenda kusikia
 
Wewe Uto hebu kwanza jifunze matumizi ya 'h'.Huwezi hata kuandika kwa usahihi na bila aibu kabisa unapata ujasiri wa kuwakosoa Simba?

ata=hata
utaangaika= utahangaika
uwa =huwa
 
Wewe ndiye mwenye matatizo mpaka sasa kwenye rank simba hawako nafasi ya 12 tena kwasababu jana Petro De Luanda imepanda hadi nafasi ya 10 na simba kaporomoshwa hadi nafasi ya 13. Mbona kila kitu kipo wazi unakaza shingo tu

) Al Ahly point 73
2) Esperance point 58
3) Wydad point 56
4)Raja point 54
5)Mamelod point 46
6) Zamalek point 43
7) Berkane point 39
8) Tp Mazembe point 38
9) Pyramid point 34
10)Pdtro luanda point 33
11) Etoil du Sahel point 32
12) Horoya point 31
13) Simba & Setif wote point 28

Sasa fanya hesabu zako za kukaririshwa darasani. Chukua 13 toa mbili unapata ngapi? Una tatizo kubwa sana la uelewa.

Haya jipige kibao halafu sema mkulu senkondo ni jinga kabisa
Kwa akili zako finyu unao uhakika hivyo vilabu vilivyo juu ya Simba SC vimemaliza nafasi 2 za juu kwenye ligi zao? Au unapiga ramli?
 
Humu kuna hesabu za uongo na kweli watu wakipeana imani kuwa simba ina uhakika ya kuanzia raundi ya pili kwasababu anashika nafasi ya 12 hivyo ana uhakika wa kuchukua nafasi ya pyramid na Berkane msimu ujao endapo watatolewa na Pirates hapo kesho. Wachambuzi wa bongo wameangalia tu upande wa juu ya Simba na kutoa hitimisho lakini kwasasa mambo yameshabadilika huko simba ili waanze raundi ya pili msiku ujao ni lazima kesho wamtoe Orlando pirates maana hakutakuwa na mbeleko ya Berkane wala Pyramid. Mpaka sasa msimamo upo hivi

1) Al Ahly point 73
2) Esperance point 58
3) Wydad point 56
4)Raja point 54
5)Mamelod point 46
6) Zamalek point 43
7) Berkane point 39 huyu namtoa kwasababu hatofuzu hivyo nafasi yake inabebwa na [emoji116]
7) Tp Mazembe point 38
8) Pyramid point 34 huyu nae hatofuzu hivyo namtoa pia hivyo yake itabebwa na [emoji116]
8)Pdtro luanda point 33
9) Etoil du Sahel point 32
10) Horoya point 31
11) Simba & Setif wote point 28

Timu ya kwanza hadi ya kumi zote zina uhakika wa kufuzu kwenye ligi zao kucheza klabu bingwa. Hivyo njia pekee ya Simba kutoanza hatua ya awali ni kumtoa Orlando pirates kesho
NA NI KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI SIMBA SC NI TIMU DHAIFU HAINA UWEZO WA KUPATA MATOKEO AWAY.
 
Swali la muhimu sana hili
Maana hiyo ES Setif ipo nafasi ya 9 kwenye jedwali la msimamo wa ligi kuu ya soka ya Algeria. Etoil du Sahel inaburuza mkia kwenye ligi yao inayohusisha makundi.
Sasa mimi namuuliza unao uhakika hivyo vilabu vilivyo juu ya Simba SC vitamaliza top 2 kwenye ligi yao mpaka afikie hitimisho kwamba nafasi ya Simba SC haipo kwa kuwa miongoni mwa vilabu 10 vitakavyoanza First round instead of preliminary round of CAF. CL?

0.5 FC mmoja anijibu hapa.
 
Mkuu,hili swali lako limemaliza huu mjadala tayari,hapa umemshika pabaya na hawezi kamwe kujaribu kujibu.
 
Back
Top Bottom