Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Sep 4, 2024 #1 Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu. Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika kazi yenu.
Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu. Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika kazi yenu.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Sep 4, 2024 #2 Kabisa mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 4, 2024 #3 Cha muhimu ushindi... Cc: Mahondaw