Watu wapo addicted sana na mpira 24/7Nishasema simba na yanga ni mtaji wa wanasiasa kwa wtz pia siwez kwame kutazama mpira wa bongo ambao simba na yanga kupoteza ni dhambi.
Nikirudi kwenye mada.
Mkuu umegusa vitu muhimu ambavyo watakuja kukuponda mawe hapa
InasikitishaWatu wapo addicted sana na mpira 24/7
Hizo programs unazosema zipo ila chache sana --- ni mpira , music kwa kwenda mbele tu hakuna namna👉🏾Asubuhi, redio zinawashwa utasikia "Simba leo wamelala," "Yanga wameng'ara," "Mechi ya marudiano itakuwaje?" Saa nne bado tuko hapo, mchana hadi jioni, sauti za mpira, kamari, na kubeti zikitawala. Mtangazaji anapaza sauti, lakini si kwa kilimo, si kwa viwanda, wala kwa elimu ya uzalishaji. Tuko bize na dakika 90 za mpira, tukiangalia upande mmoja, tukisahau masaa 23 na nusu ya maisha yetu halisi.
👉🏾Si kosa kuwa na burudani. Mpira ni mzuri, unatuleta pamoja. Lakini tunapobadilisha ajenda ya taifa kuwa mchezo wa kuigiza wa kila siku tunakosa mwelekeo. Redio zetu zingefanya kazi ya kuchambua sera za kilimo, kushabikia mafanikio ya vijana wafugaji, kuhamasisha viwanda vidogo na ubunifu,tungebadili taswira ya nchi.
👉🏾Hatutaki kuua burudani, bali kuiweka mahali pake. Tuwaambie wapendwa wetu wa redio, panda mpira, lakini pia mvune maendeleo. Muda umefika wa kutoka kwenye uwanja wa ndoto na kurudi shambani, kiwandani, na maabara ndiko ushindi wa kweli ulipo.
Hakuna kitu viongozi wa CCM wanapenda kama ujinga huu wa kupotezeana muda kujadili mpira wa Simba na Yanga au kukariri mistari ya Qur'an na kukataa kwenda shule makusudi. Yaani hapa CCM wakishakugundua tu una changamoto za kiakili kama hizi wanakupa dili kama Steve Nyerere kuwa msimamizi wa mfuko wa Mama ili ule huku ukimsifia Mama. Imagine, mtu kilaza kama Steve Nyerere leo hii anaonekana kuwa mtu wa maana shinda waziri yeyote hapa Tanzania.👉🏾Asubuhi, redio zinawashwa utasikia "Simba leo wamelala," "Yanga wameng'ara," "Mechi ya marudiano itakuwaje?" Saa nne bado tuko hapo, mchana hadi jioni, sauti za mpira, kamari, na kubeti zikitawala. Mtangazaji anapaza sauti, lakini si kwa kilimo, si kwa viwanda, wala kwa elimu ya uzalishaji. Tuko bize na dakika 90 za mpira, tukiangalia upande mmoja, tukisahau masaa 23 na nusu ya maisha yetu halisi.
👉🏾Si kosa kuwa na burudani. Mpira ni mzuri, unatuleta pamoja. Lakini tunapobadilisha ajenda ya taifa kuwa mchezo wa kuigiza wa kila siku tunakosa mwelekeo. Redio zetu zingefanya kazi ya kuchambua sera za kilimo, kushabikia mafanikio ya vijana wafugaji, kuhamasisha viwanda vidogo na ubunifu,tungebadili taswira ya nchi.
👉🏾Hatutaki kuua burudani, bali kuiweka mahali pake. Tuwaambie wapendwa wetu wa redio, panda mpira, lakini pia mvune maendeleo. Muda umefika wa kutoka kwenye uwanja wa ndoto na kurudi shambani, kiwandani, na maabara ndiko ushindi wa kweli ulipo.
😂😂😂😂Hakuna kitu viongozi wa CCM wanapenda kama ujinga huu wa kupotezeana muda kujadili mpira wa Simba na Yanga au kukariri mistari ya Qur'an na kukataa kwenda shule makusudi. Yaani hapa CCM wakishakugundua tu una changamoto za kiakili kama hizi wanakupa dili kama Steve Nyerere kuwa msimamizi wa mfuko wa Mama ili ule huku ukimsifia Mama. Imagine, mtu kilaza kama Steve Nyerere leo hii anaonekana kuwa mtu wa maana shinda waziri yeyote hapa Tanzania.