Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Yanga wapo kwenye nyakati bora sana hivi sasa, walipokuwa wanakosea walisemwa sana na wakabeba kama changamoto, wamebadilika na wapo mbali sana.
Juhudi za kuwasifia ziwe kama zile ambazo zilikuwepo wakati wa kuwakosoa, ukifanya hivyo umeiheshimisha taaluma ya Habari, usione haya!