Wachambuzi wa Soka kuweni wakweli

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875

Yanga wapo kwenye nyakati bora sana hivi sasa, walipokuwa wanakosea walisemwa sana na wakabeba kama changamoto, wamebadilika na wapo mbali sana.

Juhudi za kuwasifia ziwe kama zile ambazo zilikuwepo wakati wa kuwakosoa, ukifanya hivyo umeiheshimisha taaluma ya Habari, usione haya!
 
Yanga hawaitaji kusifiwa Wala kujitututumua mpira wanao cheza utafunga midomo yote, ni swala la muda tu.
 
Yanga siyo kama simba! Hata usipowasifia, wanashinda tu.
 
Kaa kwa kutulia yanga ni vitendo dhidi ya maneno [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…