P Patriot2 Senior Member Joined Nov 10, 2022 Posts 169 Reaction score 262 Nov 23, 2022 #1 1. Aisee wale ni: Left backs sio back left Right back sio back right. Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal? 2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi. Man up
1. Aisee wale ni: Left backs sio back left Right back sio back right. Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal? 2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi. Man up
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Nov 23, 2022 #2 Hujaelewaka mkuu fafanua zaidi
P Patriot2 Senior Member Joined Nov 10, 2022 Posts 169 Reaction score 262 Nov 23, 2022 Thread starter #3 Covax said: Hujaelewaka mkuu fafanua zaidi Click to expand... Hujasikia watangazaji wanaita mabeki wa pembeni back Right na back left
Covax said: Hujaelewaka mkuu fafanua zaidi Click to expand... Hujasikia watangazaji wanaita mabeki wa pembeni back Right na back left
Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,153 Reaction score 2,647 Nov 23, 2022 #4 Covax said: Hujaelewaka mkuu fafanua zaidi Click to expand... Anazungumzia jinsi wachambuzi wanavyokosea kwenye matamshi wakati wakichambua soka kiufundi
Covax said: Hujaelewaka mkuu fafanua zaidi Click to expand... Anazungumzia jinsi wachambuzi wanavyokosea kwenye matamshi wakati wakichambua soka kiufundi
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Nov 23, 2022 #5 Patriot2 said: Hujasikia watangazaji wanaita mabeki wa pembeni back Right na back left Click to expand... Hapo kwa lugha ya kiingereza wanakua wanavunja kanuni gani?
Patriot2 said: Hujasikia watangazaji wanaita mabeki wa pembeni back Right na back left Click to expand... Hapo kwa lugha ya kiingereza wanakua wanavunja kanuni gani?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 23, 2022 #6 Patriot2 said: 1. Aisee wale ni: Left backs sio back left Right back sio back right. Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal? 2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi. Man up Click to expand... Kanjanja hao.
Patriot2 said: 1. Aisee wale ni: Left backs sio back left Right back sio back right. Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal? 2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi. Man up Click to expand... Kanjanja hao.