kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,746 Aug 3, 2011 #1 nawasilisha.
pcman JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 742 Reaction score 189 Aug 3, 2011 #2 nilikuwa na miliki bucha moja maeneo ya Tabata miaka 3 iliyopita, ktk mwezi huu hali huwa mbaya sana.Unaweza chinja nguruwe mmoja au wawili badala ya 6 na zaidi kwa siku.
nilikuwa na miliki bucha moja maeneo ya Tabata miaka 3 iliyopita, ktk mwezi huu hali huwa mbaya sana.Unaweza chinja nguruwe mmoja au wawili badala ya 6 na zaidi kwa siku.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,368 Aug 3, 2011 #3 Ebwana napita tu no coment