Wachambuzi walalamika Kudhalilishwa na Simba. Wasema wataigomea Club ya Simba

Wachambuzi walalamika Kudhalilishwa na Simba. Wasema wataigomea Club ya Simba

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Wachambuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye.

Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji B wanakuta anakuja tangazwa mchezaji A. Jambo hili wanaona ni kama kudhalilishwa sababu wao tayari wanakuwa wamewaaminisha wafuasi wao kitu flani.

Wanasema inaonekana kuna mtu ndani ya Simba kwa sasa ndo anawaingiza chaka tofaut na hapo awali. Wachambuzi hao wameenda mbali na kudai watagomea kutangaza habari za Simba. Mbona kwa upande wa Yanga wanapata habari kama zilivyo kwa nini Simba mambo yaendeshwe kwa siri mpaka watakapo wao?

Uongozi wa Simba kama kawaida yake umeona haina haja kujibu shtuma ambazo wenyewe umeiita za Kipumbavu. Umenyamaza tu. Jambo ambalo limechukuliwa kama ni dharau maana hata ile press ya Manara viongozi wa Simba walidharau tu jambo ambalo liliwaudhi sana Yanga na Manara mwenyewe.
 
Ukisoma uzi kwa jicho la 3 ndo utaelewa meseji ya mleta mada. Sio kweli kwamba wachambuzi watagomea Simba Sc,meseji iliyopo hapa ni kwamba wachambuzi uchwara wanavuliwa nguo, huku club iki maintain credibility kwa hali ya juu sana
Wewe una akili sana....
 
Wacha Mbuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye.

Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji B wanakuta anakuja tangazwa mchezaji A. Jambo hili wanaona ni kama kudhalilishwa sababu wao tayari wanakuwa wamewaaminisha wafuasi wao kitu flani.

Wanasema inaonekana kuna mtu ndani ya Simba kwa sasa ndo anawaingiza Chaka. Tofaut na hapo awali. Wachambuzi hao wameenda mbali na kudai watagomea kutangaza hbr za Simba. Mbona kwa upande wa Yanga wanapata habari kama zilivyo kwa nini Simba mambo yaendeshwe kwa siri mpaka watakapo wao?

Uongozi wa Simba kama kawaida yake umeona haina haja kujibu shtuma ambazo wenyewe umeiita za Kipumbavu. Umenyamaza tu. Jambo ambalo limechukuliwa kama ni dharau maana hata ile press ya Manara viongozi wa Simba walidharau tu jambo ambalo liliwaudhi sana Yanga na Manara mwenyewe.
Kumbe ni Wacha mbuzi wanaolalamika siyo wachambuzi [emoji441][emoji441][emoji848][emoji848][emoji848]
Huenda ukawa sahihi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Golikipa mpya wa Yanga ni Mzee,Djuma mechi moja gereji kama gari la mkaa
 
Usajili wa Banda walishaposti watu muda mrefu tu na huyu Sakho pia wametoa tetesi na kweli kasajiliwa Simba.
 
Kidume kashalipia guest anasubiria demu aende ...safari hii mnatoa nyuma mwiko unaingiza ukuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wafwaaaaa[emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom