Kama kuna wakati wa kuwaogopa hawa wachambuzi ni wakati kama huu.
Kila mchambuzi ukimsikia anasema hii timu ndiyo kibonde na kwa hiyo Simba inatakiwa kujipigia goli nyingi.
Kuna mashabiki wengine wa Simba wapumbavu wameshaanza kusema eti tutawafunga goli saba!
Wanasahau kwamba hii ni soka na upinzani wa soka upo pale pale.
Kama vile haitoshi ni kwamba mechi zetu zote zinachezwa huku aliyekuwa mtani wetu kwa sasa ni adui anatamani kuona Simba inashuka viwango Afrika ili wao ndio wasemwe wako juu.
Bahati mbaya kuna mashabiki wengi wa Simba wasiojitambua hawajui lengo mpinzani wetu wa ndani analipigania kwa nguvu zote.
Utasikia eti uadui wetu ni mechi za ndani lakini ukiingia katika mioyo ya viongozi wa yanga,utaona jinsi wanavyotamani wao kuimbwa kimataifa kuliko Simba.
Na njia ya kwanza ni kumuua Simba aonekane dhaifu kwa kila namna.
Wachezaji wa Simba wasijidanganye na kuanza kufikiri wanakutana na kibonde.Kama Pamba tu amewapa shida na ni kibonde wa ligi yetu,itakuwa hiyo timu inayojielewa?!
Kuweni makini sana na wachambuzi wanaofanya hivi wakiwa na nia ya kuja kuwasuta pale mtakaposhinda goli moja.
Na kumbukeni mkisutwa sana kuna wakati wachezaji huwa wanaingia hofu na unyonge na kuruhusu kufanya vibaya hata mechi nyingine za ndani na nje.
Kanuni hapa ni kuwapuuza na kuacha kutamba hovyo mitandaoni.Mashabiki nao wajifunze kunyamaza hadi mechi ipigwe.
Mashabiki wa timu kubwa kama Al Ahly huwa wako makini sana wanaposemea timu yao kabla ya mechi yoyote ya ushindani.
Tujifunze kupunguza maneno maneno ya kujisifia kupita kiasi