Wachambuzi wetu, miaka 8 ya E FM kuhusu hili vipi?

Wachambuzi wetu, miaka 8 ya E FM kuhusu hili vipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Kwanza, hongera sana kwa E Fm kutimiza miaka 8, bila wao...

Pili, kwa umahiri wa wachambuzi wa masuala ya michezo na hasa soka ( anakosekana Amri Kiemba tu ) nilitaraji suala la mechi kati ya Freiburg na Bayern Munich kwenye ligi ya Ujerumani ambapo licha ya Bayern kushinda kwa bao 4-1 lakini palikuwa na jambo geni hapo la Bayern kuchezesha wachezaji 12 kwa wakati mmoja.

Jana nikasema niwasikilize mwanzo mwisho nisikie kama hili watalichimba, ikawa hola. Nikajiuliza kama lingetokea EPL labda wangelichukulia kwa uzito.

Ndo hapo mnapojikita kuangalia tu mechi za EPL wakati mpo wengi ni kama mnataka tuamini kauli ya 'mkasome'.
2021_22 GERMAN BUNDESLIGA.

FULL-TIME RESULTS
01_03 APRIL, 2022.
ARMINIA BIELEFELD[emoji2389]_VFB STUTTGART[emoji2389];

EINTRACHT FRANKFURT[emoji2388]_ GREUTHER FURTH[emoji2388];

FREIBURG[emoji2389]_BAYERN MUNICH[emoji2392];

UNION BERLIN[emoji2389]_FC KOLN[emoji2388];

AUGSBURG[emoji2391]_VFL WOLFSBURG[emoji2388];

BAYER LEVERKUSEN[emoji2390]_HERTHA BERLIN[emoji2389];

BORUSSIA DORTMUND[emoji2389]_ R.B. LEIPZIG[emoji2392];

HOFFENHEIM[emoji2389]_VFL BOCHUM[emoji2390];

BORUSSIA MONCHENGLADBACH[emoji2389]_ FSV MAINZ[emoji2389].
 
Back
Top Bottom