Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Na mndengereko
Ni kawaida siku hizi waandishi wengi wa habari huandika kuhusiana na matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii,hasa ya kitaifa na yanayohusisha public figure,mfano rais au makamu wa rais wakienda kwenye tukio la ufunguzi au uzinduzi wa kitu fulani bas media zote zitafocus hapo,wanaenda na trend...
Habari za kiuchambuzi na kiutafiti mara nyingi hazipewi nafasi kwani zinahitaj investment ya kutosha na matured ness ya mwandishi husika.
Mkumbo huu umewakumba hata waandishi na wachambuzi wetu wa kimichezo hasa mchezo pendwa yaani mpira wa miguu
Zamani tulizoea wachambuzi wetu wengi kutueleza ukweli kwa kutupa vitu extra na mambo tusiyajua au ambayo hayaonekani kwa haraka kwa jicho la kawaida,katika pitch
Mfano binafsi nimesikitishwa sana na uchambuzi wa wachambuzi weng juu ya match ya jana kati ya simba na ihefu,kiukweli mpira haukuwa mzuri licha ya kuwa hali ya uwanja kuwa nzuri na kuridhisha wachezaji weng walicheza chini ya kiwango na hakukuwa na chemistry za wachezaji katika timu zote mbili,kuanzia dk ya 1 mpaka ya 80,na hata mashabiki wa simba walikubali kuwa mpira haukuwa mzuri waliocheza angalau mpaka ilipofika dk ya 80,lakin baada ya baleke kufunga magoli mawili uchambuzi wa match ulibadilika kabisa.
Wachambuzi na waandishi wa habari weng walijibidiisha kusifia magoli mawili zaid ya simba na ubora wa baleke huku wakisahau kbs performance ya simba ya dk 80.
Wengi walienda na matokeo na trend, sikatai kumpongeza baleke kwa kazi kubwa na ngumu aliyoifanya lakin naona focus ililuwa kubwa sana kwake na hvyo kama mashabiki tulinyimwa uchambuz na taarifa zingne special
Wito wangu pamoja na waandishi kutuhabarisha juu ya matukio muhimu ila pia wajibidiishe kufanya balance na kutupa vitu extra kama asemavyo dauda.
Nawasilisha na nipo tayari kurekebishwa.