Wachambuzi wote wa soka la bongo hawana tofauti na Baba Levo

BINAFSI MIJITU INAYONIBOA ZAIDI NI WATETEZI WA MOSES PHIRI

Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.

(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).

Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.

UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.
2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.
3. Hafai kuwa hata Target man.
4. Anakuwa Off position ya No 10.
5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.

6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.

7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1

8. Majeraha ya mara kwa mara.


NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu

UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.

JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.

Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.

NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.

Pathetic
 
Eti Simba kumkazia Al Ahly basi imeonekana Al ahly ameshuka kiwango, yaani Simba haina uwezo wa kushindana na Al Ahly
Mashabiki wa Simba mna kamtindio ubongo kenu. Hata mimi kuna mtu nilimwambia hili jambo alikasirika sana nusura tuzichape. Kwa nini mnakataa kusikia ukweli.

Anyway, kiuhalisia Simba mume improve sana hasa mnapocheza na hawa waarabu walau kwa sasa hatusikii zile Khamsa, ila kwa mechi ya juzi tuseme ukweli Al Ahly perfomamance yake imeshuka. Namna anavyopata matokeo ni kwa shida sana, angalia magoli wanayokosa hata Mzize ana nafuu hii sio Ahly ile tunayoijua. Huu ndio ukweli ambao makolo hamtaki kuusikia kabisa
 

Wew ndo unautindio wa ubongo mpuuzi na mjinga . Pili unasem al ahly kashuk kapiga short target kama 20 on target kama 12 na sio on target to ni on target hatar sana zinatisha ...

Alivokuwa kwa mkapa huyo al ahly alikosa nafac za hatar kama tano na za kutisha leo unasem yupo vibaya una akili au matope na uyanga wako unakusumbua ....

Tatu hiy team yenu mpo group moja muda sio mrefu mtaona zile goli ni offside kumbe wako onside set pieces na long ball zao mtaziona pale cairo ndo mtajua wapo unga au wapo vipi ndo mtajua hawa sio wachezaji wa kawaida alafu mtarud kuisifu simba

Nne mnajidangany mtashbulia kama nyuki na kwa kasi zaid tutaona hizo nyuki baada ya kupokwa mpira mtapigika na mtasem kocha afukuzwe wa 11 sio mbali
 
Ni mwaka wa pili huu sisikikilizi kabisa hicho kinachoitwa uchambuzi hasa baada ya kugundua kuna propaganda tu zinaenezwa lakini ukweli ni nadra kuusikia.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mbwiga kwani mara ya mwisho Simba kukutana na Al Ahly kabla ya mechi za AFL matokeo yalikuwaje? Mpira umeujulia kwenye vibanda umiza nawe unajifanya mchambuzi bwege wewe
 
Hasira ya nini sasa?🤣🤣🤣

Tukisema mtindio wa ubongo hatueleweki. Hebu rudia kusoma urekebishe maandishi ndio nisome vizuri sasa.
 
Wewe mbwiga kwani mara ya mwisho Simba kukutana na Al Ahly kabla ya mechi za AFL matokeo yalikuwaje? Mpira umeujulia kwenye vibanda umiza nawe unajifanya mchambuzi bwege wewe
Mimi sio mchambuzi nimetoa maoni kama mdau wa mpira ila kama unahisi ni mchambuzi ni sawa. Nimeanza kuupenda mpira wakati wewe unafikiriwa kupelekwa kwa shemeji yako. Punguza hasira dogo
 
Kusema sio mchambuzi inategemea na mawazo yako kulingana na ushabiki wako
 
Ulielewa ni kwanini kasema hivyo au tu umechukua tittle na kufanya conclusion
Nimemuelewa kwani nilisikiliza kipindi chote ila hata yeye mwenyewe alishindwa kulitetea tamko lake sababu zake hazina mashiko zaidi ya unazi tu
 
Hiyo Ndio ilikuwa hoja ya George job Ndio Maana akasema Al Ahly ilikuwa unga wao wanatafsiri kishabiki
 
Nimemuelewa kwani nilisikiliza kipindi chote ila hata yeye mwenyewe alishindwa kulitetea tamko lake sababu zake hazina mashiko zaidi ya unazi tu
Yeye alisema hivi hajaikosea heshima Simba kwa kiwango alichoonesha Ila hoja yake Kai ni kwamba Al Alhly haikuwa kwenye kiwango chake kinachojulikana wamekosa magoali mengi sana hawakuwa wakatili mbele ya goal but al Alhly kwenye ubora wake nusu za nafasi walizozitengeneza zingekuwa goal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…