Wachawi hawapo walishakufa

Wachawi hawapo walishakufa

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,373
Reaction score
983
Natafakari kwa kina hawa wachawi wangekuwepo. Ila kwa sasa hawa waliobaki nadhani ni wachawi ila hawatishi maana kuna watu bado majumbani wanalalamika kutokewa na wachawi usiku
 
Uchawi gharama kaka, zamani walikua wanapata materials bure siku hizi kila kitu kwa fweza sasa ataloga vipi mtu burebure wkt yeye inabidi anunue ubongo wa fisi kwa fweza!😀😀
 
Uchawi gharama kaka, zamani walikua wanapata materials bure siku hizi kila kitu kwa fweza sasa ataloga vipi mtu burebure wkt yeye inabidi anunue ubongo wa fisi kwa fweza!😀😀
😆😆😆
 
Back
Top Bottom