Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

Kwani ukiokoka haukabwi?
 
usipende kulala kifudifudi utakujaga kufa majinamizi yanapenda kukaba watu wanao lala kifudifudi
 
Ukiwa Tanga hayo ni mambo ya kawaida.Wanakukaribisha alafu wewe ni mwoga sana.Watakusumbua sana na usipokuwa strong utajifunza uchawi.
Mimi sio muoga mkuu,sasa ningefanyaje wakati mwili hauna nguvu.angeniachia nguvu zangu nimwonyeshe kazi.
 
Hicho Chuo au madarasa? Soma sayansi ya ubongo ndo uje na dharau zako hapa.
Dharau zipi mkuu?
Halafu elimu ni bahari sio lazima watu wote wasome elimu ya ubongo.
 
Masihara tu mkuu,hiyo ni kama ndoto,ni thinking au memorizing ambayo hutokea. Hasa kama unaangalia mieleka au michezo au move za kimupigana.au simulizi.
Acha kulala kifudifudi pia .
 
Ikukutokea tena. Ita jila la yesu. Na ujizoeshe kusali kija unapolala na unapoamka. Na umuamini mungu atakulinsa na nguvu za giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…