wachawi mtuonee huruma

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
477
Reaction score
516
wachaw mtuonee huruma mda mwingine tunarud mageton tumechoka na nyie usik mnafanya yenu toka juzi mnanipa kabari nawachora tu yaan usik wa kuamkia leo kabisa nakabwa usingizin naona mguu kabisa wa mtu shingon
 
Tumekuwa nchi ya 153 kati ya 156 kwa furaha duniani..
Kwanza nimefarijika sana kuona nchi yangu inashika namba nilizokuwa nashika Mimi shuleni!
Kweli malipo hapa hapa duniani!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tumekuwa nchi ya 153 kati ya 156 kwa furaha duniani..

Kwanza nimefarijika sana kuona nchi yangu inashika namba nilizokuwa nashika Mimi shuleni!

Kweli malipo hapa hapa duniani!
Namba mbovu πŸ˜›πŸ˜ŽπŸ˜€πŸ˜€
 
Mimi usiku wa jana nadhani ilikuwa zamu yangu nimeamka Shingo inauma hadi saa hii nafikiria Kulala hotel usiku wa leo nikifika nachukua nguo za kuvaa kesho tu and then nasepa wanaweza niua hawa watu wabaya... Nipeni pole wandugu
 
Tumekuwa nchi ya 153 kati ya 156 kwa furaha duniani..
Kwanza nimefarijika sana kuona nchi yangu inashika namba nilizokuwa nashika Mimi shuleni!
Kweli malipo hapa hapa duniani!
Huu utafiti nani kaufanya na kapataje hii nafasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…