sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Habari zenu wakuu, natumaini mu wazima.
Kuna zoezi fulani nataka kulirahisisha excel
Ni kwamba nina sheet mbili, sheet ya pili ina list ya vitu navyotaka kuviweka kwenye sheet ya kwanza endapo vimeuzika kwa hio siku.
kwa sasa nachofanya ni kwamba mfano nimeuza kiberiti, huwa naenda kwenye sheet ya pili na copy cell yenye neno kiberiti nakuja kui paste kwenye sheet 1 kwenye column ya bidhaa zilizouzika.
Nachotaka kufanya ni kwamba badala ya kucopy na kupaste kutoka sheet 2 kuja sheet 1 nataka nikienda sheet 2 nikiminya tu sehemu kwenye hio cell ya kiberiti basi iji paste automatically kwenda kwenye cell inayofata ya sheet 1 bila ku copy na kupaste.
Naombeni msaada wenu.
Video hii inaonyesha tabu inayonipata kwa sasa, naombeni msaada