Wachawi washindwa kumtikisa Diamond, Mungu bado yupo naye

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mwanzoni mwa mwaka wachawi walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kujaribu kuififisha nyota ya Diamond Platinumz lakini Mungu bado amesimama upande wake.

Kwa kawaida Diamond hupata followers si chini ya elfu 7 kwa siku lakini wachawi wasiopenda maendeleo walifanikiwa kuififisha nyota ya Diamond kwa kuiwekea ukungu ili kumfanya apoteze mvuto lakini mwisho wa siku dawa zao zimedunda na mbaya zaidi kibao kimewageukia wameanza kulumbana wao kwa wao.

Hivi kweli Diamond wakupata followers mia 7 kwa siku?

 

Attachments

  • Screenshot_20200220-033214~2.jpeg
    67.1 KB · Views: 3
Wachawi wa siku hizi mpaka kwenye Internet? Kweli maendeleo!
 
vita anayopigana mondi angekua yule kibakuli saivi angekua kijijini analima viazi na tungeshamsahau kitambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…