Wachekeshaji wetu wafunzwe diplomasia

Wachekeshaji wetu wafunzwe diplomasia

Smartbeing

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
323
Reaction score
425
Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali.

Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu.

Public speaking is an art, the untrained need to be trained before being given platform.
 
hahahaha nchi iko busy sana yaani ni mwendo wa bandika bandua paaap chrismass hii hapa....mara Jan 22..tunalipa Ada tunaelekea Pasaka na Eid... + Covid phase 4..
 
Screenshot_20211209-181649.jpg
 
hahahaha nchi iko busy sana yaani ni mwendo wa bandika bandua paaap chrismass hii hapa....mara Jan 22..tunalipa Ada tunaelekea Pasaka na Eid... + Covid phase 4..
Mambo mengi mda mchache
 
Sijasikiliza hadi mwisho ila niliona kama anaongea vitu visivyofaa ktk halaiki nika-mute, nilipoona anaanza anaemuiga Nyerere nikawasha kumbe nae yale yale
 
Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali.

Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu.

Public speaking is an art, the untrained need to be trained before being given platform.
Sure

Niliudhika sana

Nikawaza hivi wamemwambia aseme haya kwa wananchi?

Yaani alikosa jambo kubwa la muhimu la kuongea kuhusu mama, zaidi ya safari?
 
Shule,
Shule,
Shule,
Wachekeshaji wajao watakuwa vzr, hawa wa kuoketeza waendelee tu kuwatengenezea njia wajao ili wapate sehem nzuri ya kuanzia
 
Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali.

Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu.

Public speaking is an art, the untrained need to be trained before being given platform.
Kwanza anachekesha kizamani..kwamba anajifanya eti anatembea kama mtu wa kijijini kwangu mimi protocal ya maonyesho inatakiwa ijitadhimini.

Lazima hawa bongo movie wafanye rehearsal watakachoenda kukifanya.

Inashangaza watu na usomi wao wote na exposure kupelekeshwa na steve nyerere kama organizer.
 
Back
Top Bottom