mcheza kamali akiliwa hata milion 1 akipewa 2000 ktk ile hela aliyo liwa huwa anafurahi sana.
na mcheza kamali kwa siku moja anaweza akala magali mawili lakini nayeye vyote kesho analiwa vyote hadi vitu vya ndani yani sofa tv kitanda nk.
na mcheza kamali asipo cheza wiki mbili anaweza akaanza kuumwa.