KERO Wacheza Kamari wa Ubungo Flyover wanaibia watoto, wapita njia na wageni. Serikali iwadhibiti

KERO Wacheza Kamari wa Ubungo Flyover wanaibia watoto, wapita njia na wageni. Serikali iwadhibiti

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Pale Ubungo flyover kuna wababa na wamama watu wazima wanachezesha mchezo wa pata-potea. Wanawashawishi wapita njia, wageni na watoto wasiojua huo mchezo na kuwaibia.

Hii imekua kero sana, naomba serikali ilitazame hili na kuchukua hatua.
 
Kwa watoto wanazingua, kwa watu wazima kama hawashikiwi siraha basi ni kiherehere chao
 
Nimekumbuka kipindi nipo Darasa la 6 nilipewa hela Nika nunue tshat la shule ubungo. Nikakutana na uomchezo patapotea 😄😄 elfu 7 yote ilienda nikarudi nyumbani mikono mitupu.
 
Utawakuta kama 10 hivi wanacheza kumbe wote lao moja.
 
Back
Top Bottom