Pale Ubungo flyover kuna wababa na wamama watu wazima wanachezesha mchezo wa pata-potea. Wanawashawishi wapita njia, wageni na watoto wasiojua huo mchezo na kuwaibia.
Hii imekua kero sana, naomba serikali ilitazame hili na kuchukua hatua.
Nimekumbuka kipindi nipo Darasa la 6 nilipewa hela Nika nunue tshat la shule ubungo. Nikakutana na uomchezo patapotea ππ elfu 7 yote ilienda nikarudi nyumbani mikono mitupu.