ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nilikuwa namsikiliza Mchezaji Wa Zamani Steven Nemes hapa E FM,ktk maongezi yake amewataja pia na baadhi ya wachezaji Wa zama zile kweli nimejihisi kusisimka kama zamani,wakati ule mchezaji ukimwona tu unahisi kama sijui umebahatika sana na hii in sababu walikua na kiwango cha juu mno,body ilionekana,Makumbi juma akipita mtaani watoto wanamfuata nyuma!
Hivi sasa barabarani waweza pishana na timu nzima inayoshiriki VPL usimtambue hata mmoja!Kiwango mfano cha Samata ukiinganisha na wakati ule kilikua ni cha kawaida tu.
Juzi nimewaangalia wale wachezaji Wa timu zote mbili Simba/Yanga aisee ni hatari Kiwango cha Soka,miili midogo sana yaani ni baadhi tu yao mfano Tambwe,Ajib,Ngoma sijui labda kuna haja ya kuwatengenezea mpango maalum Wa Diet pamoja na Gym ili kuwajenga Physically.
Hakika kiwango chetu kimeporomoka sana pamoja na kusheheni media kibao siku hizi,imebakia ushabiki tu.
Hebu kumbuka wachezaji hawa.
Zamoyoni Mogella,Hamis Gaga,Athumani China,Abeid Mziba,Adolph Richard,Ezekiel Greyson Juju man,Saidi Mwamba Kizota,Abubakar Salum Sure boy,Masatu george,Elisha John...nk embu wengine jazia.