Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

shenzy kabisa,de lima na gaucho wawe chini ya messi na ronaldo!?
Hapo kwa Gaucho nakuunga mkono mkuu.Japo nadhani ni kwa sababu Gaucho aliwika ndani ya mfupi, lakini naamini alipokua katika ubora wake hakuna mchezaji aliyewahi kufikia ile level.
 
Siwezi kukubaliana na hili gazeti pelle wa tatu kwa kitu gani alicho nacho maradona?
 
Fifa wamemweka pelle kama namba moja ya wakati wote

Hilo gazeti hamna kitu
 
Hawa jamaa walivyo wapumbavu, wanataka kutuaminisha upumbavu wao. Yaan Dinho, Zizou, De Lima, Pele wawe chini ya Messi na kile kishoga cha Real! Cha ajabu Figo hayumo, Okocha mzee wa kusepa na kijiji hayumo, Nwankwo hayumo!

Ifikie mahali tuheshimiane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka kubisha au ? Hao waafrika wanabaki wakawaida tu mbele ya hao wababe

"SIJAWAHI KUONA MCHEZAJI KAMA MESSI NA NADHANI SITAONA TENA KAMA MESSI"
Neymar Jr
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…