Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

sijamuona kopi ya Dinho yaani Jay Jay Okocha,Nwanko Kano,Patrick Mbona,Aboutrika,Denlison (mtaalaam wa chenga za maudhi).
 
Duh hamna mchezaji mweusi ina maana uwi steeler ni bora kuliko samuel etoo au george weah???? Kazi kwelikweli
 
Duh hamna mchezaji mweusi ina maana uwi steeler ni bora kuliko samuel etoo au george weah???? Kazi kwelikweli

Pia Roger Milla na Thomas N'kono of Cameroon 1990 should in the list. Hii ni timu iliyoishinda best Argentinian Team which include Maradona, Burruchaga na Caniggia. Pia walikuwa world Champions at that time. This Cameroonian team should have won world cup in 1990 but referees favour England in quarter final.

This was the best team of 1990, they were serious, confident, uncompromising and taking no prisoners.They should have won world cup in 1990..

Great injustice committed against them. Try to watch full match and see for yourself. Here are the highlights:-


 
hichi kiumbe cha ajabu hawajakitendea haki,Alwys Messi La pulga ndo Baba wa mpira
 
Tunaomba ripoti kutoka chanzo cha kuaminika......!!

Isije kuwa mmiliki wa Gazeti hilo ni Muhuni na mtovu wa nidhamu Maradona....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Jay Jay Okocha hayumo...

Eto'o hayumo....

George Weah hayumo....

Halafu wanawaweka watu kama Giggs....

Hahahaaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Giggs anastahili kabisa kuwemo kwenye hiyo list
Tusishabikie sana ubaguzi, jiulize mtu kama Andrea Pirlo kutokuwemo kwenye hiyo list, ni kitu cha ajabu sana
Steven Gerald pia hayumo, huu sasa ni utani!!!!!!!
 
List imeharibika kwa kukosekana Bebeto, Mustafa Hadji,Dunga... ah na kuna wengi hatari nadhani hiyo ni list ya Muandishi tu... Ati Shearer hayupo? vigezo binafsi vya Muandishi ni nini? na How come Teja Maradona likakaa Juu na vigezo vidogo mno... Wengine Tumemshuhudia alivyocheza Mpira na sio kuadithiwa
 


Amecheza fainaly nne za kombe la dunia

Ameisaidia Brazily kutwaa kombe la dunia mara 3 katika historia yake

Amecheza finaly hizo za kombe la dunia kwa kiwango cha juu mara zote nne

Ni mchezaji anaeshikilia rekodi ya kufunga katika kombe la dunia akiwa na miaka 17 tu wakati akiisaidia Brazil kutwaa kombe hilo 1958 huko sweeden huku akitupia bao mbili mwenyewe

Fifa wamemworodhesha kama mchezaji namba 1 katika historia ya football

Alikuwa na kasi ya kimbunga
Chenga za maudhi na matobo
Alifunga bao zisizo na idadi mpaka leo watu hubishana zipi za mashindano na zisizo za mashindano

Mchezaji ambaye alikuwa anakula kwanja za kutosha na refa hapulizi filimbi

Akitolewa nje kutibiwa mashabiki wa Brazil walikuwa wakilia
Akirudi ni machozi ya furaha

Fainaly zake za kukumbukwa kwa pelle na maajabu aliyoyafanya ni 1970 ambazo ndio fainali zake za mwisho ambapo Brazil walitwaa kombe hilo kwa kishindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…