Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

Jaizinho alikuwa bora lakini kwa pelle ni habari nyingine

Kwa wabrazili akitoka pelle anaefuata ni garincha mchawi mwingine wa kasi na chenga

Mwandike Pele na sio Pelle,
Jamaa anashindwa kujua mchezaji bora wa wakati wote na mchezaji bora wa msimu, Jaizinho alicheza vizuri sana kwenye WC ya 1970, lakini sio kwamba Pele alichemsha

Angalia uchawi wake aliofanya miaka 50 iliyopita ambayo sasa ndio unarudiwa,

 
Nafikiri walimsoma kama kitabu then wakayafanyia kazi
Hatari sana
N
Japo wanafanya lakini pele alivifanya kwa njia ya kushangaza sana
 
Kifupi jibu tosha ila kama mahaba waache watu wafanye kiukweli edson alikuwa kifaa na mipira ya waqt huo muamuzi hawalindi nyota yaani mpaka mtu apewe kadi ya njano ilikuwa kazi ubabe mwingi undava lakini bado nyota huyu alitamba kwangu Pele alikuwa mchezaji bora sana na mpaka leo ila siwazuii wengine kuona kwa mtizamo tofauti na wangu.
 
Lionel Messi Ndio Mchezaji Bora katika Historia ya Football
 
Enzi hamna off-side
Sasa hivi kuna offside lakini bado magoli ya offside yanafungwa

Sasa hivi mchezaji akiguswa kidogo tu filimbi au kadi nyekundu

Zamani za pele kadi nyekundu mtu avunjike mguu
 
Pele, The best ever. Messi angecheza miaka aliyocheza Pele asingecheza kwa miaka mingi. Kwa sababu fouls nyingi sana zilikuwa zinakubaliwa. Maradona alikuwa anacheza na madawa ya kulevya. Pele was clean.
 

Labda kama huyo juu ni mcheza tenisi
 

Kaka Pele kacheza mpira wakati Dunia imejaa ubaguzi mkubwa kwa watu weusi, sasa Wazungu na jeuri zao na dharau zao kwa Watu Weusi lakini walimkubali Pele na walimtukuza, hiyo ni hali halisi kabisa kuwa jamaa alikuwa ni mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…