Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

Jaizinho alikuwa bora lakini kwa pelle ni habari nyingine

Kwa wabrazili akitoka pelle anaefuata ni garincha mchawi mwingine wa kasi na chenga
Kwa chenga mwisho wao ni denilson.

brain is the beautiful part of the body.
 
Kwa chenga mwisho wao ni denilson.

brain is the beautiful part of the body.

Inawezekana kaka, uzuri wa Pele alikuwa hana kimoja, alikiwa ni mchezaji mkamilifu, kila idara yuko fit, kwa Pele togauti ya mguu wa kulia na kushoto ilikuwa ndogo sana, yeye alikiwa anacheza mpira na miguu yote, kushoto unapasia kulia na kulia unapasia kushoto

Watu wanafunga Tiktak sasa lakini yeye ndio mwasisi wa hiyo bicycle kick
 
Huyu jamaa sikumshuhudia uwanjan, ila nmemfatilia kila nyanja na kila kona.. mwishowe nakiri kusema pele ni hatar ni mchaw wa soka, mambo aliyokuwa anafanya miaka ile sijui angekuwa miaka hii ingekuwaje..

Nmetumia miez mingi kumchunguza pele na maradona, conclusion ikawa
1.pele
2.messi
3.maradona

Messi kamzid maradona dribbling nzur na wepesi kwingine kote wanashahibiana..
 
Watu wanazungumzia weprs kama vile offside na nin lakin hawazungumzii mazingira magumu wachezaj waliopitia, siku hizi tunacheza kwenye viatu vyepes kama kondomu..

Wanasema kulikuwa hakuna offside ni sawa lakin ukitizama asilimia kubwa magoli yake alikuwa anahama na kijiji anachukua kijiji msoga mpaka chato mamamiake... pele hakuwa mdogo, ana nguv, stamina, anatumia miguu yote ipasavyo, mfupi ila anakwenda hewan hatar, skills zilizolala..

Watu nigeria huko walikubaliana kusitisha vita wapate kumshuhudia..
 
Kapiga sana rabona enzi hizo watu hawazijui..
 
Ni kweli mkuu, alionekana kuwa na full package.

But denilson kwa uwezo wa kukaa na mpira kwa chenga ni mtu na uwezo wake na ndo maana alikuwa anawekwa mwishoni ili kuwapotezea muda timu pinzani endapo wameshinda.

brain is the beautiful part of the body.
 
denilson ni hatari sana ukitaka umjue vizur angalia highlight za kombe lamabara 98 yule anaweza piga chenga mpaka wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] yule jamaa alikuwa mwisho wa vyenga na ndo maana alikuwa anapewa nafasi mwishoni kabisa kama wameshinda ili kuwapotezea muda.

brain is the beautiful part of the body.
 
Hiyo fainali ya 1970 shujaa wa Brazil alikuwa Jaizinho. Alifunga goli kila mechi. Pele alizungukwa na timu bora sana.
Maradonna ndo kiboko yake,Brazil ya miaka ile hata John Bocco na Kichuya wangeng'ara.Namuona CR7 kaibeba timu yake ya taifa kuliko mwingine yeyote.Huyo Pele ni bahati alizungukwa na timu ya sayari tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lionel Messi La Pulga ndio mchezaji bora wa muda wote kwenye football

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
List fake, yaan De Lima, Gaucho, Zidane, wawe chini ya Messi na CR7?!

Huu utani wa ngumi kabsa

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Cameroon ilikuwa vizuri aisee, Roger Milla alikuwa bonge la no. 9

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Fumbafu thana,ina maana mpira unachezwa Ulaya tuu na America kusini? Fumbafu thana

Sent using Jamii Forums mobile app

Waafrika ni Eusebio na Mario Coluna. Hawa ni wa Mozambique ila wakati ule walichezea ureno word cup mwaka 1966. Nafikiri wanaangalia lwenye kombe la dunia na nchi zinazofika labda karibu ya quarter final. George Weah hafikii na wengine hawafikii vigezo ajili ya kuwa nje ya platform ambako wanaangalia.

Very unscientific kwani sielewi logic ya viwango vya FIFA ku base kwenye national teams. I think it is just a simplification.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…