Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

Samuel eto'o, Drogba, George weah na makelele hawapo hiyo list fake.
 
Mbona waswahili wagumu kuelewa? Nafasi zilikuwa 100 tu hao wengine wataingia wapi? Halafu hayo ni maoni yao, hawajakwambia ukubaliane nao! Hata mimi nina listi yangu. Acheni povu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clarece Sedorf,Claud Makelele,Paul Scholes,Andrea Pirlo,David Beckam,Samuel Etoo,Didier Drogba,Paul Di Canio lakini et Neymar yupo Luis Suarez yupo ni kigezo gani wametumia?
 
afrika mbona sijaona au sijui majina hata drogba au george wear
 
PUMBAVU ZAO....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulizieni chanzo cha hiyo habari. Inawezekana mtu moja kwenye internet kafanya yake nyinyi povu linawatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…