Ombaomba fc..AKA...makwasukwasu fc....AKA..mbutembute fc....AKA...vyuraaaaa.....AKA..GongowaziiiiiiMbumbumbu FC.
Hii inaitwa "future impossible tenses" ni sawa na mkundu kutafuna mua haiwezekani kamwe.Al ahlly 2 simba sc 3
nakumbuka fainali na stella abijan timu iliingua single file kwa upole matokeo bao lilitengenezwa katikati kwa kupigwa chenga baridi wachezaji 2 na nyavu kutingishika timu ifanye jaramba za kutosha.kipa unaweza vunga kushoto muongoze apige kulia utakapo udaka.ndivo kipa alivyo okoa shambulio moja takatifu kipa alipotea kushoto kwake lakini akageuka kabla ya kutua na kuokoa mpira kulia.makipa wanaonekana kusafiri chini zaidi na mipira kutinga juu yao.hakuna haja ya kubahatisha mda wote goti la mpigaji mara nyingi ubapa wake huelekea atakapo pigaTimu imeondoka kimya kimya, sio kama raundi zilizopita. Afadhali Manara kapigwa breki. Huwaweka wachezaji under pressure.
Hahahaha. Time will tell budaaHii inaitwa "future impossible tenses" ni sawa na mkundu kutafuna mua haiwezekani kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
MNARUDI NA KAPU LA MAGOLI KUTOKA MISRI, SITAKI KUTAJA MANGAPI ILA SAVE HII COMMENT YANGU HAPA
Peleka timu yako ambayo ni underpanya tuone itafanya nn?...Underdog karibuni Misri kwa farao tuwapandishe pyramid mpaka kileleni
Wanaonea huruma hawa underdog kwa kinachoenda kuwakuta uķo Misri
Hawa yanga wanavyorusha miguu kama chura kweli.Akili za Vyura [emoji196][emoji196][emoji196] ndo zimeishia hapo, endeleeni kucheza mchangani na bwawani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi inaenda kupata aibu kubwa toka kwa andadogMNARUDI NA KAPU LA MAGOLI KUTOKA MISRI, SITAKI KUTAJA MANGAPI ILA SAVE HII COMMENT YANGU HAPA
Mnaumia SIMBA kuwa MAKUNDI CAF CL, ila mnajikaza tu kwa umbea mmezoea.MNARUDI NA KAPU LA MAGOLI KUTOKA MISRI, SITAKI KUTAJA MANGAPI ILA SAVE HII COMMENT YANGU HAPA
"Andadogi Yes wi keni"Peleka timu yako ambayo ni underpanya tuone itafanya nn?...
Tunaumia unavyochapwa goli 5Mnaumia SIMBA kuwa MAKUNDI CAF CL, ila mnajikaza tu kwa umbea mmezoea.
Na bado... Simba yakimataifa"Andadogi Yes wi keni"
Mara
"Andadogi sio baba yangu wala sio mama yangu"
Unaumiaje ikiwa wewe sio simba kunta wewe...Tunaumia unavyochapwa goli 5
Tena lililojazwa Kama lumbesaMbwembwe zitoke wapi wakati wanajua wanafata gunia la mabao ni swala mda tu.
[emoji375][emoji375]
Itapendeza
Hao Mashabiki jina. Hajui kama Al Ahly ndio Madrid ya Africa. Yeye anaamini timu yake inaweza kuishinda Al Ahly tena kwenye uwanja wake. Na ikitokea Simba kafungwa anaona uzembe umefanyika. Mashabiki kama hao ndio wanafanya siku hizi soka la Bongo nifuatilie matokeo tu.
Kama sijaelewa mimo Hakuna aliyeelewa.ukimya usiwe
nakumbuka fainali na stella abijan timu iliingua single file kwa upole matokeo bao lilitengenezwa katikati kwa kupigwa chenga baridi wachezaji 2 na nyavu kutingishika timu ifanye jaramba za kutosha.kipa unaweza vunga kushoto muongoze apige kulia utakapo udaka.ndivo kipa alivyo okoa shambulio moja takatifu kipa alipotea kushoto kwake lakini akageuka kabla ya kutua na kuokoa mpira kulia.makipa wanaonekana kusafiri chini zaidi na mipira kutinga juu yao.hakuna haja ya kubahatisha mda wote goti la mpigaji mara nyingi ubapa wake huelekea atakapo piga
Kwa mujibu wa Manara level yenu kwasasa ni kuzifunga Barcelona, Man City na hata Madrid,sasa inakuwaje muiogope Aly Ahly?Hao Mashabiki jina. Hajui kama Al Ahly ndio Madrid ya Africa. Yeye anaamini timu yake inaweza kuishinda Al Ahly tena kwenye uwanja wake. Na ikitokea Simba kafungwa anaona uzembe umefanyika. Mashabiki kama hao ndio wanafanya siku hizi soka la Bongo nifuatilie matokeo tu.
Hahaha Manara ndio Mbumbumbu namba moja.Kwa mujibu wa Manara level yenu kwasasa ni kuzifunga Barcelona, Man City na hata Madrid,sasa inakuwaje muiogope Aly Ahly?
Sent using Jamii Forums mobile app