Wachezaji 3 wa green warriors hawana leseni

Pole mkuu, ID yako tuu inaonesha namna timu yako ilivyokujeruhi
Wapumbavu hawa madogo,majina makuuubwa hawana jipya. Jana natazama mpira sio kabisa goli litatokea wapi,hakuna ubunifu,bora beki na mido,lakini fowad hamna tofauti na Lipuli
 
Wanavyopenda vya ubwete! hahaha wamekuja kwa kasi ya 4G!
Majani bandia sijuwi yameishia wapi?! Uwanja umegeuka lisho kwa mifugo Bunju! Mo anawachezeazea tu, kama kweli anapenda maendeleo yao wangekuwa Bunju..
Kulelewa na kupakatwa na wadosi na waarabu madhara yake ndio hayo...
Chako chako tu, hata kama masika kinajaa maji!
 
Bonge la idea kwa Manara, we ngoja mashabiki wa mikia waanze kuzeshwa segere jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…