Wachezaji 5 muhimu wa Yanga!

Wachezaji 5 muhimu wa Yanga!

netein

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
281
Reaction score
480
Tetesi, baadhi ya wachezaji 5 muhimu wa Yanga, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda, Sappong, Yacouba na yule mrundi aliyezingua jana, wapo mbioni kuikacha Yanga kutokana na madai wanayoidai klabu hiyo.
 
😁😁...ubingwa aulizwe injinia.
Kale ka chawa ka GSM kalikuwa kananifurahisha kalijiona kamekuwa MO tayari.

sema hizi anazowaingiza anabeba gisieemu au wananchi fc.. make msimu mmoja makocha kibao labda kama wanasaiini prohibition kwanza kabla ya mkataba mkuu
 
Hivi wanaondoka hawajalipwa bado?😁😁.....
Ngoja waanze kuwashtaki FIFA, msimu mmoja makocha wa tano, hii ni historia ya dunia.
 
sisi wananchi hatuogopi madeni tushasema tutavunja benki
 
Labda waondoke nchini lkn kwa hapa tz timu wanazoweza kucheza kwa hadhi zao ni hizi timu mbili tu,
Habari hizi si kweli,Tusilaumiane au Saidor au mukoko hawezi hama Yanga eti aende
Namungo
Biashara
Kmc
Polisi
Mwadui nk

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tetesi, baadhi ya wachezaji 5 muhimu wa Yanga, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda, Sappong, Yacouba na yule mrundi aliyezingua jana, wapo mbioni kuikacha Yanga kutokana na madai wanayoidai klabu hiyo.
Waende tu Yanga itabaki hai milele
 
Back
Top Bottom