ππ...ubingwa aulizwe injinia.
Kale ka chawa ka GSM kalikuwa kananifurahisha kalijiona kamekuwa MO tayari.
sema hizi anazowaingiza anabeba gisieemu au wananchi fc.. make msimu mmoja makocha kibao labda kama wanasaiini prohibition kwanza kabla ya mkataba mkuuππ...ubingwa aulizwe injinia.
Kale ka chawa ka GSM kalikuwa kananifurahisha kalijiona kamekuwa MO tayari.
Hivi wanaondoka hawajalipwa bado?ππ.....sema hizi anazowaingiza anabeba gisieemu au wananchi fc.. make msimu mmoja makocha kibao labda kama wanasaiini prohibition kwanza kabla ya mkataba mkuu
sisi wananchi hatuogopi madeni tushasema tutavunja benkiHivi wanaondoka hawajalipwa bado?ππ.....
Ngoja waanze kuwashtaki FIFA, msimu mmoja makocha wa tano, hii ni historia ya dunia.
Waende tu Yanga itabaki hai mileleTetesi, baadhi ya wachezaji 5 muhimu wa Yanga, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda, Sappong, Yacouba na yule mrundi aliyezingua jana, wapo mbioni kuikacha Yanga kutokana na madai wanayoidai klabu hiyo.
Wakacheze choon basi. Kama wapo ktk jamii WATAJADILIWA TUU. Narudia WATAJADILIWAYa yanga waachie wanayanga