Wachezaji 6 bora walioko dimbani kwa sasa wengine hutamani kufikia viwango vyao

Cr7 kaisha , timu inambeba . utaona anacheza mechi chache kwa msimu. Mf 2016/17 kacheza mechi chache na hata alizocheza alizofanyaga vizuri ni chache hasa zile 5 za mwisho za Uefa. Labda unambie mafanikio kweli jamaa yupo vizuri sana kwa mafanikio. Lakini kwa sasa Madrid hawampi 100% zote kuwa bila yeye ni pigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kucheza match chache hakumfanyi ubora wake upungue
 
Kucheza match chache hakumfanyi ubora wake upungue
Tusiongee kishabiki. Mwenyewe namkubali sana CR 7 kwa mambo alioyafanya na anayoyafanya. Sizani kama Cr 7 wa sasa anaweza mudu mzunguko mzima wa msimu. Kwa sasa Zidane anamtumia kama mzee wa timu ........ Madrid kuna mafundi sana tena watu kazi. Najua ubora hatutazami idadi ya mechi ...lakini kama ulimfatilia msimu uliopita alipwaya sana akaja fufuka mwishoni .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ndio maana zidane anampumzisha ili kulinda kiwango chake
 
Messi
Pogba
Lukaku
Dybala
Neymar

sent from using iphone 7+ mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…