Sawa tutaangalia sisi hiyo tarehe 4 August kwenye luninga, maana itafanyikia Kenya, hata hivyo mtawakosa Metacha, Godfrey, Yondani, Makame na Toto maana watakuwa Kenya4 August ni siku ya wananchi..hiyo mechi ya Kenya mtaangalia mikia..sisi tutakuwa Taifa...Yanga vs As Vita
Bora tubadilishe tarehe ya siku ya wananchi maana bila hao wachezaji nikama hakuna mechi kabisa.Sawa tutaangalia sisi hiyo tarehe 4 August kwenye luninga, maana itafanyikia Kenya, hata hivyo mtawakosa Metacha, Godfrey, Yondani, Makame na Toto maana watakuwa Kenya
Hapo lazima waihairishe mechi , [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we subir tu mkuuSawa tutaangalia sisi hiyo tarehe 4 August kwenye luninga, maana itafanyikia Kenya, hata hivyo mtawakosa Metacha, Godfrey, Yondani, Makame na Toto maana watakuwa Kenya
Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi ya CHAN dhidi ya Kenya Julai 28.
Hawataweza kurudi tena South kwani marudiano na Kenya tarehe 4 August, na Simba inarejea nchini August 5 tayari kwa Simba day tarehe 8.

Roho mbaya ni sumu kwa afya yako!matumizi mabaya ya pesa hayo. MO alivyotapeli atawaambia safari imewagharimu bilioni 2
Na hali za wananchi kiuchumi si unajua ilivyo kwa sasa4 August ni siku ya wananchi..hiyo mechi ya Kenya mtaangalia mikia..sisi tutakuwa Taifa...Yanga vs As Vita
Nilishasema ni hasara tu hiyo Safari Ya south sasa wame gain kitu gani huko?Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi ya CHAN dhidi ya Kenya Julai 28.
Hawataweza kurudi tena South kwani marudiano na Kenya tarehe 4 August, na Simba inarejea nchini August 5 tayari kwa Simba day tarehe 8.
Katiwe mimba na MO labda roho yako itatuliamatumizi mabaya ya pesa hayo. MO alivyotapeli atawaambia safari imewagharimu bilioni 2
Akitutapeli we shabiki la gongowazi yanakuhusu ninimatumizi mabaya ya pesa hayo. MO alivyotapeli atawaambia safari imewagharimu bilioni 2