mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Ukiiangalia vizuri na kwa umakini wa hali ya juu, utagundua kabisa klabu hii kongwe ya huko kaskazini mwa jiji la London inapitia kwenye matatizo makubwa zaidi kuwahi kurekodiwa siku za nyuma. Tatizo la klabu ya arsenal linaanzia katika menejimenti mpaka kwa wachezaji huku ikionekana wazi kuwa wachezaji wa arsenal wamegawanyika katika makundi makuu matatu!
1). Ni kundi la wachezaji wakongwe ndani ya kikosi! Hapa kuna Aaron Ramsey, Laurent koscienly, Theo Walcott, Oliver giroud, na nacho monreal kundi hili limekuwa na sauti kwa professor Wenger na huwa linajivunia kuwa klabuni hapo kwa muda mrefu kuliko wengine pia ndani ya kundi hili ndio kuna watoto wanaipendwa na mzee na. Hata wakikosea basi mzee anaweza kuendelea kuwapa nafasi zaidi na zaidi...
2). Ni wachezaji wanaoonekana kama mastaa ndani ya klabu na hapa ndipo utawakuta akina Alexis Sanchez na mesut mustapha macho oezil. Hawa wanaamini kwamba wao wanayohaki ya kufanya chochote kuhusu klabu kwa kutegemea viwngo vyao kiuchezaji...kundi hili huwaona wachezaji wenzao kama underdog! Yaani kwa ile lugha inayotusumbua wengi wanaiita hii hali kama(superiority complex) , hili ni kundi linalohitaji mafanikio makubwa kwa haraka ili waweze kuingia kwenye ushindani wa wachezaji bora duniani yaani wale " world class key players" pia, hili ni kundi linalohitaji maslahi mapana zaidi ukilinganisha na makundi mengine.
3). Kundi la tatu na la mwisho ni la wale wanaozungumza kifaransa! Hawa wapo pamoja na mzee Wenger na hawapendi waonekane wanamkosoa moja kwa moja. Pia lipo kundi la wachezaji wachanga ambao pia ni loyal and obedient kwa prof Wenger..... Mgawanyiko huu ndani ya arsenal umeifanya timu kutokuwa na split ( mwamko wa kuweza kupambana kwa moyo mmoja kutwaa vikombe).....ukiingalia arsenal unaweza ukavutiwa sana kwa namna wanavyocheza lakini arsenal ni kama mwanaume anayejua romance halafu ana typically kibamia ndani ya zipu ya suruali yake. Haiwezekani uweze kumiliki mpira kwa asilimia zaidi ya 80 halafu mwisho wa siku unatoa sare au kufungwa huu ni upuuzi....
Inasikitisha sana timu kubwa kama arsenal kutokuwa na mipango madhubuti ya kushindania vikombe kwa miaka nenda rudi! Pia nafikiri ni muda muafaka sasa kwa mzee wetu Wenger kukaa pembeni ili kuwapisha vijana watakaoweza kupambana na sakasaka kama ya man city... Inasikitisha sana kuiona menejimenti ikishindwa kufanya maamuzi magumu kwa miaka nenda rudi kwa kumkumbatia mzee Wenger. Inasikitisha sana.