Wachezaji Benzema Ribery wapandishwa Kizimbani kwa kosa la Kufanya Ngono na Kahaba wa chini ya 18

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Wacheza soka wawili mashuhuri duniani, wamefikishwa mahakamani mjini Paris Ufaransa kwa kosa la kufanya ngono na kahaba aliyekuwa na umri mdogo.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 21 sasa hivi, alisema kwamba,Franck Ribery, mchezaji wa Bayern Munich , alimtumia kama zawadi wakati wa sherehe za siku yake ya kuzaliwa mwaka 2009.
Inaarifiwa Ribbery alimpilia msichana huyo tiketi ya ndege aweze kusafiri kutoka Ujerumani Kuja Ufaransa kumtumbuiza Ribbery wakati wa sherehe hizo.
Alisema kuwa pia alilipwa ili afanye ngono na Karim Benzema anayecheza soka yake na klabu ya, Real Madrid.
Kahaba huyo alisema kwamba, aliwaambia wawili, hao kuwa alikuwa mtu mzima wakati huo.
Benzema amekanusha madai ya msichana huyo.

Wachezaji hao wanaweza kufungwa jela miaka mitatu kila mmoja ikiwa watapatikana na hatia.
 
Kweli hii atar sana...yan wanashida gan paka kutafuta makahaba

Ukitafuta akina 'Geti Kali' ishu hazikawii ku leak magazetini kutokana na kuzungushwa zungushwa na videti visivyoisha. We huoni hii y kahaba ni ya mwaka 2009 lakini inaibuka leo 2014?
 
Demu wenyewe Huyu hapa, musiwalaumu sana.

 
Hapo unatafutwa umaarufu..

Kahaba yake si malipo?

Kahaba mtoto!!!???..Anatafuta umaarufu na pesa...Watoto wenzake wako shule wanasoma..

Kwanza Anaharibu sifa za watoto..Hakuna mtoto kahaba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…